Toefl vs ielts ipi bora?

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wadau!
naomba kujuzwa, nataka kufanya mtihani mmoja wapo kati ya hiyo iliyotajwa hapo juu, ni upi ni bora zaidi kwa mimi ambaye nataka kufanya kwa ajili ya kuombea vyuo? na pia upi wenye gharama zaidi na upi unapata matokeo haraka zaidi kuliko mwingine
karibuni wana JF
 
Zote kif kif. chagua moja tu umalizane nao.
Kama unaenda common wealth IELTS bora
Kama ni US pekee, basi bora TOEFL.
TOEFL test is easier but IELTS is broader
 
Zote kif kif. chagua moja tu umalizane nao.
Kama unaenda common wealth IELTS bora
Kama ni US pekee, basi bora TOEFL.
TOEFL test is easier but IELTS is broader

mkuu mi naona TOEFL ni ngumu kidogo kuliko IELTS maana nakumbuka nilifanya TOEFL sikupass maana ukishaandika umeandika na muda haukusubiri tofauti na IELTS ila nilivyofanya ielts nilifaulu vizuri nikaondoka zangu. labda tunatofautiana kimtazamo.
 
Sijui, binafsi nilishindwa zote so...:yawn:
 
Mwali imekuaje tena? Kati ya hizo mbili ipi uliona ina inafuu? Mkuu uki nipe maujanja ya hiyo ielts mwana nianze mchakato ili niwahi application vyuoni,kama vipi ni pm boss
 
Back
Top Bottom