Today tips

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
370
Reaction score
1,111
💦Kwenye maisha wewe ndio umebeba maono ya maisha yako.
💦Wewe ndo unajua wapi unataka kwenda.
💦Wewe ndo unaona kule unakokwenda.
💧Usikubali kuambiwa huwezi.
💧Usikubali kuambiwa hautafanikiwa.
💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa.
Wakikwambia hivyo cheka nao, halafu kaza buti....Cheka nao ila hesabu 💰💵 tofauti na hesabu zao...

Ikawe wiki njema kwako wewe usomae ujumbe huu
 
More blessing msisteri
 
Mi nikajua tips za football, jana weekend muhindi kanila laki 9 yangu bora ningehonga nikaonekana bonge la bwana.
 
💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa.
Kwahio hawa wanaoniambia siwezi kusafiri na kurudi jana nisiwasikilize niendelee kujaribu ? Au huyu anaeniambia siwezi kusimama kwenye kona ya chumba cha mviringo amechanganyikiwa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…