Kwakweli imetusaidia sana jfMe nilijiunga jf kabla hata ya fb.. Nilijiunga nikiwa form 2 now niko chuo kikuuu.. Jf imenisaidia sana nimejifunza mengi...nimepata taarifa muhimu na nimeonekana mjuvi wa mambo kumbe ni jf tu ndio fimbo yangu.
Thank you sima salva official:congratulation to you
Mm nadhani mfumo wetu wa elimu unatuumiza mkuu...mfumo wetu umebase sana kutengeneza watu wawe maacademician na sio watu wa practical tumesahau kazi ni practical..mtu umesoma shule& chuo miaka minne au mitatu practical namaanisha muda ambao umetumia kufanya practical hata nusu ya hyoo miaka uliyosoma yote chuo au shule haifikiindo maana wasomi wetu hadi wakae miaka milmwili kazini ndo wanaaminika kazi nyingi zinataka wazoefu sasa maanake nini , hawajiamini
Coes eeh??Nakumbuka mara ya kwanza baada ya kumaliza form six niliilaza kutumia jami forums.
Post yangu ya kwanza ilikuwa ni kuomba ushauri kozi nzuri ya kusoma.
Nilibahatika kupata ushauri wa kutosha na baadhi ya marafiki nikawapata humu kama Jonatus na Avatar mok.
Honestly i enjoyed collage life and i made alot of fursa when i was there.
Japokuwa nimekutana na misukosuko ya kutosha kama mnavojua maisha ya chuo niliweza kupambana mpaka nikakamilisha kilichonipeleka.
Naishukuru sana jamii forms members bila kusahau HESLB kwa kufanya maisha yangu yawe ya furaha.
Kama upo maeneo ya dodoma karibu sana ukumbi wa polisi jamii saa kumi kamili jioni.
NB. Msisahau kuja na zawadi.
Muda wa miaka mitatu hautoshi kufanya vitu vyote academic na practical ndio maan baada ya kuhitimu tunatafuta experience kwanza.Mm nadhani mfumo wetu wa elimu unatuumiza mkuu...mfumo wetu umebase sana kutengeneza watu wawe maacademician na sio watu wa practical tumesahau kazi ni practical..mtu umesoma shule& chuo miaka minne au mitatu practical namaanisha muda ambao umetumia kufanya practical hata nusu ya hyoo miaka uliyosoma yote chuo au shule haifikii
Coes eeh??
Not coes... In4Mm nadhani mfumo wetu wa elimu unatuumiza mkuu...mfumo wetu umebase sana kutengeneza watu wawe maacademician na sio watu wa practical tumesahau kazi ni practical..mtu umesoma shule& chuo miaka minne au mitatu practical namaanisha muda ambao umetumia kufanya practical hata nusu ya hyoo miaka uliyosoma yote chuo au shule haifikii
Coes eeh??
Poa msalimie masudi na babuNot coes... In4