Today is Da'Vinci's birthday

Toka nimezaliwa mpaka leo Real world haijanufaika nami kwa lolote..Though natamani mno ifaidike uwepo wangu kabla ya siku zangu hazijfika kikomo.
Ila Virtual world (JF) kwa mujibu wa maoni ya wadau imenufaika uwepo wangu kwa kiasi fulani kwa kushare mawazo yangu humu.
Natamani niweze kunufaisha kwa kiasi kikubwa sana kama wengine wafanyavyo!
Nice reply
 
Back
Top Bottom