Today at SCOAN: Mahusiano

Huhitaji ukombozi wa mtu yeyote hapa duniani
Kama unaamini Yesu wako, anaweza kufanya makubwa
Na wote tumepewa mamlaka hayo, unaweza jikomboa

hivi hao SCOAN.......hawana branch Bongo.?....watu tunahitaji ukombozi wallah........
 
I am too conservative kwenye imani
Haya makanisa yanayokuja kama uyoga, kwa kweli naangalia tu, huwa sielewi kwa kweli

Kwa hiyo, huwa nakaa kimya tu

I can't agree more, yaani mpaka uone shida za watu ndipo utakapojua jinsi ya kumshukuru Mungu kwa tumitihani tudogo unatotupitia. Kuna majaribu ya kufa mtu aisee, shetani hajapumzika hata sekunde moja aisee!

Shida almost zote za mahusiano ni shetani ingawa Kongosho atasema tumezidi kumsingizia shetani.
 
Huhitaji ukombozi wa mtu yeyote hapa duniani
Kama unaamini Yesu wako, anaweza kufanya makubwa
Na wote tumepewa mamlaka hayo, unaweza jikomboa

Sidhani kama Preta alimaanisha anategemea ukombozi kutoka kwa TB Joshua, na hakuna hata mahali au siku Tb Joshua alisema analeta ukombozi.

Unajua kuhusu vipaji vya Roho Mtakatifu? Na unajua watu wamepewa tofauti tofauti? kwanini Eliya au Musa alikuwa mediator na baadaye Yesu?

Kwanini unaenda kanisani, while unaweza jifungia chumbani na kusali si unaye Yesu tayari?

Kwanini tunaomba watakafu na Mama Maria atuombee?

Kwanini nikisema Ubarikiwe, unaitikia amina?

Kwanini unawaambia watu "mbarikiwe'?

Jaribu kupunguza huo u-conservative.
 
Kinachonikwaza ni ishara kupewa kipaumbele kuliko hata sala zenyewe

Ndio, kuna watu wana vipaji au wananguvu ya kusikilizwa na Mungu

Lakini siamini hawa wote wana vipaji hicho

Naenda kanisani kujumuika na wenzangu kumjua Mungu zaidi na kumwambudu

Lakini si kila mara nataka ishara, tena zile zinazoambatana na kutatua matatizo yangu tu


Wakati mwingine tunalazimisha kupata ishara zisizo mpamngo wa Mungu, ndio maana hata kujikuta kwa manabii wa uongo inakuwa rahisi.


Vipi Daudi angekuwa anaishi maisha ya dunia ya leo? Si angejikuta anaenda kwa TB Joshua ili amwombee mwanae asife? Lakini mpango wa Mungu ilikuwa mtoto huyo afe.


Hata bibilia imesema, siku za mwisho watun watatafuta ishara zaidi kuliko kumjua Mungu, hili ni angalizo alitoa Yesu mwenywe, nikilumbuka mstari wa ngaoi nitakuwekea.

Sidhani kama Preta alimaanisha anategemea ukombozi kutoka kwata TB Joshua, na hakuna hata mahali au siku Tb Joshua alisema analeta ukombozi.

Unajua kuhusu vipaji vya Roho Mtakatifu? Na unajua watu wamepewa tofauti tofauti? kwanini Eliya au Musa alikuwa mediator na baadaye Yesu?

Kwanini unaenda kanisani, while unaweza jifungia chumbani na kusali si unaye Yesu tayari?

Kwanini tunaomba watakafu na Mama Maria atuombee?

Kwanini nikisema Ubarikiwe, unaitikia amina?

Kwanini unawaambia watu "mbarikiwe'?

Jaribu kupunguza huo u-conservative.
 
Kinachonikwaza ni ishara kupewa kipaumbele kuliko hata sala zenyewe

Ndio, kuna watu wana vipaji au wananguvu ya kusikilizwa na Mungu

Lakini siamini hawa wote wana vipaji hicho

Naenda kanisani kujumuika na wenzangu kumjua Mungu zaidi na kumwambudu

Lakini si kila mara nataka ishara, tena zile zinazoambatana na kutatua matatizo yangu tu


Wakati mwingine tunalazimisha kupata ishara zisizo mpamngo wa Mungu, ndio maana hata kujikuta kwa manabii wa uongo inakuwa rahisi.


Vipi Daudi angekuwa anaishi maisha ya dunia ya leo? Si angejikuta anaenda kwa TB Joshua ili amwombee mwanae asife? Lakini mpango wa Mungu ilikuwa mtoto huyo afe.


Hata bibilia imesema, siku za mwisho watun watatafuta ishara zaidi kuliko kumjua Mungu, hili ni angalizo alitoa Yesu mwenywe, nikilumbuka mstari wa ngaoi nitakuwekea.

Hivi, unaangaliaga Emmanuel TV?

Kwanini watu wanaenda hospitali? Ili wasife?

Daudi naye angempeleka mwanaye hospitali, ikishindikana huenda akampeleka kwa waganga au kwa maombi kama watu wanavyofanya siku zote.
 
Kwa Dar mimi ni mgeni, huko Yaeda ndio wapi Preta?, huwezi amini sijawahi hata kusikia hilo jina. Karibu mji mwema, huku Kigamboni. tarehe 16 tunarudi Bondeni.

kwa sababu mwakilishi ni Mwita Maranya.......muulize direction na kila kitu.....anapafahamu....ila nakuja bondeni....nitakutaarifu......namba yako si ile ile.....?
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu mwakilishi ni Mwita Maranya.......muulize direction na kila kitu.....anapafahamu....ila nakuja bondeni....nitakutaarifu......namba yako si ile ile.....?
Huwa sibadili namba ya simu Preta, nikibadili itani-cost sana. Lini unakuja? Dada yangu Nomcebo pamoja na Bhoke watakuja kukupokea. Amini kuwa hutakuwa mpweke. Nimejifunza kitu hapa Dar.....nilipokewa vizuri sana na hadi sasa sijachokwa. Asante Preta

 
Nilianzisha hii Kitambo sana.


Amani iwe kwenu.

Nilikuwa napitia maandiko na kuna sehemu imenivutia na kuamua ku-share pamoja na waaminio katika hili.

Nimeileta mada hii chit chat kwa ajili ya watu wa hapa na si kule jukwaa la dini maana si wengi tunapita huko. Mods 'mnisamehe (source-Mr. Ebo)

Baada ya hayo naomba nianze na mada hii inayohusu ishara na imani.
Ninavyoona mimi sasa hivi waamini tumekuwa tukihama kutoka pointi A kwenda pointi B tukimsaka Yeye aliye Kweli kwa kufuata ishara zinatolewa na wahudumu wa sehemu hizo. Hii ikanifanya nitamani kujua ni kipi kilicho muhimu zaidi katika maisha ya MKRISTO? Ni ishara au imani?

Nimeona katika agano la kale Mungu aliwaagiza manabii kutumia ishara ili watu wapate kuamini kuwa wametumwa na Mungu wa Ibrahimu.
mfano hapa naupata Kutoka 4: 1-9, unaelezea majibizano kati ya Musa na Mungu alipomtokea kumpa ujumbe wa kuwaokoa waisrael.
Hapa uwezo aliopewa Musa wa kufanya miujiza ilikuwa kwa ajili ya kuwafanya waisrael waamini kuwa ametumwa na Mungu na kweli alimtokea.

Katika Agano Jipya kitabu kilichoongelea zaidi mada hii ni Injili ya Yohane.

katika Agano Jipya, nimejifunza kwamba Yesu alikuwa anatumia ISHARA(miujiza) kwa ajili ya kuvuta watu (kumbuka kipindi hicho hakukuwa na makanisa ya yeye kufundishia zaidi ya masinagogi ya wayahudi ambao hawakuvutiwa naye) ili aweze kuwafundisha neno au baada ya kufundisha neno alitoa ishara ili wapate kuamini.

Mfano nimepitia Yohane4: 48-50 na 53- 54, hapa tunamwona afisa/diwani aliyekuwa na bintiye mgonjwa huko Kapernaumu. Anamfuata Yesu aende kumponya bintiye, lakini Yesu anamwambia aende tu bintiye amepona. Baada ya yule ofisa kuamini tu bintiye alipona wakati ule ule.
Muujiza huu ulifanya afisa huyu na familia yake ipate kuamini kwamba Yeye ndiye.

Katika Yoahne 6: 9-11 na 14
Hapa nimezidi kuona Yesu alivyotumia ishara ili watu wapate kumwamini. Kisa hiki kinahusu Yesu kuwalisha watu elfu tano kwa mikate 5 na samaki 2, baada ya wale watu kushiba wakaamini.

Katika Yohane 6: 26-27, naomba ninukuu
' Yesu akawajibu akasema, Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mnanifuata, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba. Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani Mungu.'
maneno haya yanaonesha kuwa tunapochagua kufuata neno la Mungu iwe zaidi ya matamanio yetu ya duniani kama chakula, mali, afya na vingine vingi maana ule uzima wa milele ndio linatakiwa kuwa tamanio letu la kweli.
Sasa hii hangaika tunayoifanya sasa hivi kwa ajili ya vitu vya kidunia, tujikumbushe na kama tunaona tumeacha lengo kuu la Yesu mwenyewe tujirudi na kufuata iliyo kweli.

Katika Yohane 11: 14-15
Hiini kisa kinachohusu kufufuliwa kwa Lazaro, ishara hii ilisaidia pia walioshuhudia kuamini.

Baada ya Yesu kufa na kufufuka, nimeona msisitizo wa kuamini unabadilika kutoka kwenye kuamini kwa kuona ishara na kuamini kwa kuwa umeyasikia mafundisho ya Yesu na kuamini. Na hii kwa mtazamo wangu inakuja kwa sababu sasa hivi tayari kanisa tunalo ambalo ni Yesu Kristo mwenyewe tofauti na awali ilibidi afundishe kwa ishara kuvuta watu na kuwafanya waamini. Yesu mwenyewe ndie muujiza mkuu kuliko yote, na kikubwa anachoangalia kwetu ni nafsi zetu za ndani na imani yetu thabiti kwake na si kingine.

Katika Yohane 20: 24-29
Kisa hiki kinahusu Yesu alipowatokea mitume wake, lakini Tomaso hakuwepo na hakuamini.
Yesu akasema '.... Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini'

Kuanzia hapa naona Yesu anatuasa tuamini bila kutafuta ishara za kidunia. Kuna kilicho kikuu kuliko ishara hizi tunazozitafuta sasa.

Katika Mathayo 12: 38-42 na Mathayo 16:1-4
Hapa naona akiwakemea wafarisay waliokuwa wakitaka afanye ishara, tena kwa maneno makali sana, naomba kunukuu kidogo tu '... Kizazi hiki kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona...'

Hapa naona anaongelea ishara kuu ilikuwa kifo na ufufuko wake.

Baada ya kuandika haya, naomba kama waamini tujiulize, je tunaenda makanisani kutafuta ishara au kweli ambayo ni Yesu Kristu mwenywe?

Je mahitaji yetu ya kibinadamu yameleta upofu mioyoni mwetu hata tunashindwa kuitafuta kweli na kutafuta ishara?

Kila mtu ana majibu yake kulingana na anachofahamu. Lakini wito wangu kwa waamini wa sasa ni kurudi katika misahafu yetu na kuitafuta kweli hii.
Maana tunaambiwa siku za mwisho ni wengi watakuja kwa jina lake lakini hawatakua wake.

Basi tutafakari haya wakati tunajiandaa kwa ajili ya kesho kwenda kuabudu.
Nawatakia siku njema na karibu kwa kuchangia mada hii ili tuendelee kukumbushana vitu muhimu katika kujiandalia makazi ya milele.

Mbarikiwe sana!

Sina access na jukwaa hilo, na sijaomba na bado sina uhakika kama nataka kuingia au la.

Any way; yote sawa, wana heri sana watu kama ninyi lakini sisi ambao imani yetu hushake once in a while tunahitaji kitu cha ziada.
 
Pastor & Mrs Ikechukwu Lukeman
Pastor anatoka kwenye idol worshipers' home, yeye akaokoka akaoa.
Mke alikuwa mkorofi sana, hafanyi chochote hata kupika; kifupi alikuwa kama baba wa nyumba.

Unyumba akanyimwa kwa miaka zaidi ya mitatu. Ikafikia muda wakatengana.

Wakaenda SCOAN last week, ndipo lipepo lililokuwa ndani ya mke likajitaja (spiritual husband) na kusema jinsi gani lilivyokuwa linajaribu kuharibu ndoa yao. Wamerudi leo, kushukuru Mungu.

Familia no 2, wao walikuwa wanaishi mbali mbali, wakawa wanawasiliama kwa skype muda wote. Mke baada ya kuchat na mumewe, akawa anajitosheleza kwa kumasterbate huku akiangalia porno. Ikamuaffect kiasi kwamba hata affection kwa mumewe, mumewe naye akaanza kumuona mkewe kama mtu wa kawaida tu. Hadi kufikia hatua ya kutaka kutalikiana.

Wamepata derivelance nao wako okay.

Kwanini nimeleta humu, situation hizo ni very common ktk maisha yetu; lkn wengi hatujui the root cause. Tusiache kumuomba Mungu.

Jumapili njema!

Amen!!
 
Kaunga nimejifunza mambo mengi sana kupitia emmanuel TV zamani nilikuwa nairuka hii Chanel lakini siku hizi jmos ,jpili ,alhamis usiku live lazima niwe kwenye Luninga yangu...

na nimepata kitu moyoni mwangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom