Naomba unitag ukipata majibu.Wakuu habari ya majukumu?
Naomba kusaidiwa wapi ninaweza kupata zile tochi zenye mwanga maalumu,zinazosaidia kutambua alama mbalimbali za noti,ili kubaini noti halali na noti feki?.
Natanguliza shukrani.
Ingia online Amazon eBay au Ali baba tena bei huwa inakuwaga nzuriWakuu habari ya majukumu?
Naomba kusaidiwa wapi ninaweza kupata zile tochi zenye mwanga maalumu,zinazosaidia kutambua alama mbalimbali za noti,ili kubaini noti halali na noti feki?.
Natanguliza shukrani.
Ingia online andika uv light note checkerZinapatikanaje mkuu?
Lazima zitakuwa zinapatikana mahalaHakuna mahali zinapatikana nchini mkuu?
NdioSasa nikipata sehemu zinapopatikana nchini itakuwa safi sana.
Torch au tube light?mimi nimeshanunua tube light (ultraviolet light bulb ), kuna duka moja dar, ni muda sana, ila bei yake, imechangamka ilikuwa ikiuzwa 40, 000!!kwenye sehemu yangu ya biashara nilikuwa napigwa sana!!kwani wafanyakazi walikuwa hawajui kuzitambua pesa fake, nilipokuja kuifunga hiyo, mtu akichomoa tu hiyo pesa mfukoni, anaiona heeeee!!mbona nyeupe, anairudisha kimya kimya, anaitoa ile halali kwa malipo ya kitanzania!!kama hana nyingine anatoka kimya kimya tu!zile taa ni mwisho wa pesa fake.Hakuna mahali zinapatikana nchini mkuu?
Nielekeze duka hilo mkuu.Torch au tube light?mimi nimeshanunua tube light (ultraviolet light bulb ), kuna duka moja dar, ni muda sana, ila bei yake, imechangamka ilikuwa ikiuzwa 40, 000!!kwenye sehemu yangu ya biashara nilikuwa napigwa sana!!kwani wafanyakazi walikuwa hawajui kuzitambua pesa fake, nilipokuja kuifunga hiyo, mtu akichomoa tu hiyo pesa mfukoni, anaiona heeeee!!mbona nyeupe, anairudisha kimya kimya, anaitoa ile halali kwa malipo ya kitanzania!!kama hana nyingine anatoka kimya kimya tu!zile taa ni mwisho wa pesa fake.
Clock tower, (kwenye round about )kama unatokea kituo kikuu cha polisi kati(maeneo ya station) , ile barabara ya juu , ukiwa tu kwenye round about hiyo, kwa mbele yako mkono wa kushoto utaona duka kubwa la vifaa vya umeme, ulizia hapo.japo najua kwa sasa kuna maduka mengi tu ya vifaa vya umeme utaweza zipata.ila liwe duka kubwa,Nielekeze duka hilo mkuu.
Nitaenda kujaribu mahali hapo mkuu. Kwa mchana wa jua kali hii balubu kwenye kibanda chenye mwanga tele wa jua utendaji wake unakuwaje mkuu?.Clock tower, (kwenye round about )kama unatokea kituo kikuu cha polisi kati(maeneo ya station) , ile barabara ya juu , ukiwa tu kwenye round about hiyo, kwa mbele yako mkono wa kushoto utaona duka kubwa la vifaa vya umeme, ulizia hapo.japo najua kwa sasa kuna maduka mengi tu ya vifaa vya umeme utaweza zipata.ila liwe duka kubwa,