Tochi za kuthibitisha noti halali

Tochi za kuthibitisha noti halali

Nitaenda kujaribu mahali hapo mkuu. Kwa mchana wa jua kali hii balubu kwenye kibanda chenye mwanga tele wa jua utendaji wake unakuwaje mkuu?.
Kwenye mwanga mkali haitaweza kufanya kazi kwa ufanisi, hata kama ni chumba chenye mwenge mkubwa lazima uitafutie sehemu, kwani lengo ni kukusaidia wewe kutambua pesa fake, unaweza iweka chini ya kabati la pesa, au sehemu yoyote ambayo muda wote itakuwa na giza giza, kwani mwanga wake unakuwa wa dhambarau.
 
Wakuu habari ya majukumu?

Naomba kusaidiwa wapi ninaweza kupata zile tochi zenye mwanga maalumu, zinazosaidia kutambua alama mbalimbali za noti, ili kubaini noti halali na noti feki?.

Natanguliza shukrani.
Kurunzi nzuri kukagua note ni Jua.
Ila hizo zingine kama chemri tu.
 
Download application ya ultra violet note checker ziko nyingi tu
 
Back
Top Bottom