mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
mkuu basha kwa kiarabu ni muheshimiwa....Mh..hili litakuwa basha sio bure.,
Ukiangalia kwa vizuri huyu aliebebwa
1. kalegea sana
2. kansinzia machoni
3. Kafunga mikono kwa kulazimisha hana furaha
Maana yake huyo ni mgonjwa inawezekana anapelekwa au anarudishwa hospitali