Toba!! Haya maji mengine bwana...!!!

Hizo ni tofauti za kitamaduni kwa hiyo sishangai sana
 
Hii itakuwa sio Bongo, labda ni Bukavu huko.

Hakuna mwenye akili timamu atawekeza hela yake aje na product ya jina hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mada moja nimeona humu JF inasema vijana wa TZ tuna nn? Hizo kiufupi ni lugha ya watu wala usihusianishe na maneno yenu kule japani kuna timu inaitwa KUMAMOTO sasa kwa nyie wa bongo kwa kufikilia upande mmoko ni Tatizo kwa kweli. Ndio maana mnajazwa na Tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…