Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,702
Amani ya Bwana iwe juu yenu.

Leo twende na confessions ya yale unahisi bila Mungu au Allah usingekuwa hapo ulipo.

Leo sianzi mimi

Twenden kazi watoto wa Mungu/Allah uwanja ni wenu hebu shuhudia matendo makuu ya Mungu/Mola

Zaburi 71:16 BHN

Nitataja matendo yako makuu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu; nitatangaza kuwa ndiwe mwadilifu peke yako.

Zaburi 23:1-6 SRUV​

BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
 
Pale nilipogombana na mkewangu, mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakamani nikabeba elfu lakimbili ya kitanzania kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi, fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu msikiliza kesi alininanga, kumbe hela nimeangusha home na wife akachukua kaenda kumhonga yule yule jamaa/wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana kwa uchungu wa wakili kukosa hela yangu nilikaa ndani miez sita,na alitaka nikae ndan bila kikomo mmh ngoja kwa hivi wakuu mungu mwenyewe yupo kweli??
 
Pale nilipogombana na mkewangu mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakaman nikabeba shiling laki mbili kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu kumbe hela nimeangusha home wife kachukua kaenda kuhonga kwa wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana nilikaa ndani miez sita, ila wakuu mungu mwenyewe yupo kweli?
Mwenzetu umesema bila ya mkono wa Mungu usingechomoka halaf unatuuliza kama yupo au la?
 
Pale nilipogombana na mkewangu mkewangu akaenda nishitaki mahakamani kwa kosa la kumpiga mke siku ya kwenda mahakaman nikabeba shiling laki mbili kwaajili ya kuwatuliza wasikiliza kesi fika mbele namuona alieshikilia kesi ya wife nikamuita chemba nikamwambia, kiongozi fanya uwezalo nichomoke kwenye hiyi kesi, basi nikazama mfukoni, ile kutoa patupu kumbe hela nimeangusha home wife kachukua kaenda kuhonga kwa wakili asee ile kesi bila mkono wa mungu nisingetoboa, maana nilikaa ndani miez sita, ila wakuu mungu mwenyewe yupo kweli?
😅😅😅😅 duh Acha huyu Mungu aitwe MUNGU
 
Mungu yupi!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom