Waache kuweka habari bila uhakiki na umakini mfano juzi wameonesha habari ya Obama akihutubu chini wakaandika BARACK OBAMA RAIS WA TANZANIA...ni makosa sawa wengine watasema ni bahati mbaya sawa ila umakini ni muhimu mno ktk upashaji habari
TV ya taifa inatakiwa kuwa mfano kwa wengine ila hii yetu haiko serous. tuambieni tatizo nini? mi nafikiri Tido Muhando alikuwa na mengi ya kuifanyia Tbc. limebaki giza.......makosa kama hayo ni too much.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.