hata mimi nakukubali sana wewe memba.Kumekucha!! Haya ahsante mkuu



ile sentensi ya mwisho nilikuwa natania tu, nawakubali sana nyie watu.
Haya hebu tupange sasa, nani mama na nani shangazi?
Wala hujakosea kabisa. Hakuna kingine tena ulichoona?mkuu mbona unakua na maneno mazito hivi!? unajua katika member ambao hua naona akili zao na umri wao ni inversely proportional ni wewe.
Thanx sana Zoë, umetaja grp la watu ninaowahusudu sana humu including you. BTW, Jael ni crush wangu since 2013 kama sikosei and I adore her japo anaweza kuniita furushi sasa hivi....shout out kwenu wote..




Fursa ya chai na Kasie matata..Sema unataka nini Kaboom...
Kasinde nimejaa tele hapa..
Umeujuaje Kama Ni mwanamke mkuu?Huyu mwanamke kila mtu anampenda atakua mzuri sana
Wala hujakosea kabisa. Hakuna kingine tena ulichoona?
Umeacha mama.mwee kwani siku hizi naendelea tena jamani