miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,741
We mtaje tu zitamfikia. Lol
Huyu mwanamke kila mtu anampenda atakua mzuri sana
Duuh!!
😀 😀 😀 😀 😀Hahahaaa. Ahsante Mkuu. 🙏
Nimecheka eti huwa unaitaja taratibu tena kwa sauti ya chini. 😀😀😀
😀😀😀 Sio mbaya Mkuu.😀 😀 😀 😀 😀
Tunatoa ya moyoni.