Toa Rambirambi yako hapa


Amen
 
TUTAENZI DAMU YENU ILIYOMWAGIKA KWA KUENDELEZA MAPAMBANO MLIYOYAANZISHA.
HAKIKA NYIE NI MASHUJAA WA KWELI.
MAY GOD,the Almighty rest their SoulS in everlastng eternal peace! Amen.
 
RIP. Tutawakumbuka daima. We vow to continue the struggle you have started.
 
Rip,kuna habari kuwa wauwaji polisi wamekataza mkutano wa mazishi,lazima tukomae tuwazike kishujaa,na bendera za cdm nchi nzima zitapepea nusu mlingoti
 
Hivi kweli sisi watanzania tumefikishwa hapa tulipo na hii mifisadi!!
Mimi naapa, tusipodai uhuru wetu kutoka kwa hawa jamaa wanaoona nchi hii ni yao peke yao, tutaishi kama wakimbizi katika nchi yetu.
KULIKUWA NA HAJA GANI KUUA ETI MTU KAANDAMANA! KWELI MIMI NAOMBA NIPATIWE JIBU KUTOKA KWA ALIYETOA AMRI HIYO NA MTU HUYO ALAANIWE KABISA NA APOTEE KUTOKA USO HUU WA DUNIA!
 
Mungu aziweke mahali pema peponi roho za marehemu wote-mungu atupatie nguvu sisi wazalendo na wafiwa na mungu awasamehe wadhalimu wauaji wote waliopoteza maisha ya watanzania wasio na hatia. Nguvu ya umma itaendelea kupigania haki dhidi ya udhalimu ukandamizaji na unyanyasaji wa namna yoyote. Bado tunayo mengi katiba mpya, dowans, bei ya umeme na ufisadi.
 
Asante Shy
Kuna mtu ameuliza (RealMan) kuwa hiyo michango iko kwenye pool moja na ya namba hizi hapa chini?
 

Our lives,how we sleep and wake up depends on how our neighbor lives,...
If our neighbor fight and are all the time in chaos, we won't even have peace in our own homes where we do not fight!

Lord,the peace we had and still have in Tanzania,was in one way or another contributed by these brothers that you have called back to you,....
We believe that death is not the termination of our lives,but it's the beginning for another life.

We thank you for the time you gave us to spend with them when they were still alive!
We hope to see them one day since we are in the same journey,.....

In Jesus name,Amen!
 
I salute you brothers!!
Rest in peace in eternal life. You are the heroes, called during struggles to bring back your lovely, but a stolen country.
 
poleni sana wafiwa.
wapendwa waliotutoka ni MASHUJAA WAPIGANIA UHURU.
wamekufa kwa ajili yetu na vizazi vyetu vijavyo
 
Kwanza asante kwa thread hii tukufu.
Poleni sana Watanzania, poleni mashujaa wa Arusha, ndugu, jamaa na rafiki za wafiwa; (na hata waliojeruhiwa pia poleni sana).

Omar & Denis
Damu yenu ina thamani,
katika ulimwengu wa ukombozi wa Tanzania majina yenu yameandikwa kwa dhahabu.
Kila siku yanaongezeka thamani.
Mmeonyesha mfano wa nini maana ya kujitoa kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
Hamkuwa na choyo wala ubinafsi,
Ismail na Denis mtaendelea kuishi,
katika fikra na
 
There is no easy walk to freedom anywhere, and many of us will
have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we
reach the mountaintop of our desires. Nelson Mandela

​
 
They say it's the white man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here.
Tupac Shakur
 
We feel deeply the injustices committed by police force against these revolutionary guys! Your icon and spirit shall live with us in a lifetime! You make us stronger than ever! You're free at last! Rest in Peace!
 
Denis and Ismail you will never forgotten in our memories and you still lives in our hearts, we all know that u were fighting for freedom, fighting for Tanzanians but they shoot you dead without knowing you were fighting for even their progress.
We will proceed with this fight so as to make our beautiful country a better place for living!
R I P.
 
you dont die in vain dear brothers.....daima mtakumbukwa wanaharakati wenzetu..R.I.P
 
Hamkufa kwa ajili yangu, na wala kwa ajili ya nchi yangu niipendayo, Tanzania. Mmekufa kwa ajili ya uchu wa wadaraka wa dr. slaa and his cronies. Rot in hell rioters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…