Toa order ya sim original used unayoipenda

Toa order ya sim original used unayoipenda

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
382
Reaction score
120
Nahitaji order ya sim original unayohitaji.
Nokia
samsung
blackberry
htc
iphone
hauwei
sony expiria
sonyericson expiria
sms zinaruhusiwa pia kwa order
asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
 
Nahitaji order ya sim original unayohitaji.
Nokia
samsung
blackberry
htc
iphone
hauwei
sony expiria
sonyericson expiria
sms zinaruhusiwa pia kwa order
asanteni sana kwa ushirikiano wenu.

Ugeweka na bei zake.
 
Iphone 5.......bei yake shs ngapi....?
 
Tatizo la humu aliyetoa tangazo mwingine wengine nao wanakuja kudandia na biashara zao mnatuchanganya. Nimependa tangazo la mleta mada bt lete bei na aina mbali xa hizo simu unazoweza kuagiza huko nje
 
Galaxy note nyeupe bei gani?
Nahitaji order ya sim original unayohitaji.
Nokia
samsung
blackberry
htc
iphone
hauwei
sony expiria
sonyericson expiria
sms zinaruhusiwa pia kwa order
asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
 
Nahitaji order ya sim original unayohitaji.
Nokia
samsung
blackberry
htc
iphone
hauwei
sony expiria
sonyericson expiria
sms zinaruhusiwa pia kwa order
asanteni sana kwa ushirikiano wenu.

Mi mkuu nataka Sony Xperia Z, sh.ngapi?
 
we uko maeneo gan kwani! ingekua vizuri ungeonyesha bei ya kila simu ili mtu ajue. au taja eneo ulipo tuje kupatania.
 
Hakuna biashara hapa Kingsimba amepita tu mtaa huu kama vile wamachinga wanavyopita mitaani na visoksi kadhaa mkononi.
 
Last edited by a moderator:
Iphone 5 16GB, $800 sema tufanye biashara....nipo hapa kwa Mbauda!.


wewe sio mfanya biashara kama majibu yako ndo hovyo namna hii hutufai tutapoteza muda tu bure ww kwa Mbauda wote wanapajua ni Kigoma??????
 
wewe sio mfanya biashara kama majibu yako ndo hovyo namna hii hutufai tutapoteza muda tu bure ww kwa Mbauda wote wanapajua ni Kigoma??????

Lakini mkuu......niliyejibiwa ni mimi.......na kanijibu hivyo kwa sababu anafahamu kuwa naishi kwa Mbauda......sasa sijui na wewe unataka kufanya nae biashara........?
 
Back
Top Bottom