Toa oda yako haraka;30%off JF MEmbers

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,856
Kazi kwenu nipm
 

Attachments

  • IMG_13920167270280.jpeg
    33.6 KB · Views: 303
  • IMG_14224479622664.jpeg
    31.3 KB · Views: 279
Mimi nnazo zangu tokea 2010 mpaka sasa nadunda nazo.
 
Duh! Siyo muumini wa siasa lakini kwa hizo raba hapana hata kwa mboko sivai
 
Aaaanh wakati nshakununulia na ilikuwa iwe surprise!!

Mhhh! Mhhh!! Hapana kwa kweli hiyo suprize naikataa,bora uniletee hata yeboyebo ntakushukuru sana nami nitakusuprise kitu kizuuuuuuri.!!
 
hizo raba si huwa wanazitoa bure?
Yes, hutolewa bure kwa wasanii wa Bongo Movie na Bongo Fleva wakati wa kampeni. Be careful with politicians, they can use you, misuse you, disuse you, abuse you, seduce you, confuse you then diffuse you....😛eep:
 
Hivi tunahitaji viatu au tunahitaji Elimu? hahaahhhaaaa watatuletea hadi pichu hawa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…