Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,314
Umetisha Mkuu!Bahati mbaya sijawahi waona hao binadamu macho kwa uso, neno ni kuwa; msichana huyo ni mrefu kuliko mwanaume huyo.......sijui kama nitakuwa nimeeleweka
Kiswahili kipana, tuvumiliane.
Hapo ilikuwa kabla ya jamaaWatani wa jadi
Japokuwa umetoa neno zaidi ya moja.Siasa sio uadui
Siasa sio urafiki wa kudumu
Siasa ni iadui pale inapo bidi(rejea mauaji ya kimya kimya yalio wahi wapata watu mashuhuri)
SIASA NI MCHEZO MCHAFU.
Over.
Nimekuelewa sana mkuu...Bahati mbaya sijawahi waona hao binadamu macho kwa uso, neno ni kuwa; msichana huyo ni mrefu kuliko mwanaume huyo.......sijui kama nitakuwa nimeeleweka
Kiswahili kipana, tuvumiliane.