Toa neno lolote kuihusu hiyo picha

Toa neno lolote kuihusu hiyo picha

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
a20444d17d87e836bd303694cd10e4ee.jpg
 
Imagine yule ni binti ama jamaa yako .... then wakuta tukio hilo ..... swali: Je utafurah na kumshukur huyo MSAMARIA mwema ama utamwona ni Mpenda dogodogo
 
Why so sad sir?
Yaani kwenye maisha unaweza ona we ndo mwenyeshida na unawaza kusaidiwa tu. Lakini kunapoint ikifika unajiona wewe unahaki tena kubwa tu. Kunawatu wanahali mbaya zaidi yako. Ukiangalia hiyo picha utagundua huyo jamaa mpaka ana baiskeli kiasi kwamba akikalia kwenye baiskeli anaweza akakwepana na kashda ya kokoto. Lakini angeakuwa mwingine angejisemea tu akh na mimi maskini
 
Kwa wenzetu sawa, ila kwa m' bongo duuu!.......Utapewa lakini ukubaliane na kashfa zitakazofuata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom