Tunapenda kuwatangazia kuwa tumetengeneza Android App inayoitwa Grab! Bajaj App.
App hii inamwezesha mtu yeyote kuona orodha za bajaj zilizozopo karibu na eneo alipo (Tanzania) pindi anapotaka kutumia usafiri wa bajaj. Mtumiaji anawezakuchagua bajaj aipendayo kisha kupiga namba za simu za bajaj husika.