We Dogo umetuchakachua na Habari ya Zito tumekuacha sasa unakuja na habari za Chademajuuuuu!!Umeshaona humu kuna mafecebooker wenziyo??Kwanini hii story usiiunganishe na zito??Mbona ndiyo ileile??Chunga matumizi ya JF!
Kuna tofauti gani na hii hapa??https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/136693-zito-kabwe-atoa-mpya.html
Again,sijui una shida gani katika kuelewa.Hakuna mhali niliposema nina akili kuliko watu wote.Wewe ndiyo mwenye Fixed mind kama hizo.Thread au post zozote za speculations,Ramli au zisizo na tafiti kwa karne hii ya 21 ni za Kijinga na siogopi kusema.Najua lengo lako na unakotaka kuelekea,Have fun on your own buddy.Siwezi kusujudia ujinga ati kwa kuwa naogopa kuwa huu ni muda wa kampeni na hivyo itanigharimu.SahauSasa hilo povu la nini?
Unisamehe kwani nimekosa nini?
ID yako kuwa na umri wa miaka mitano (hata ingekuwa mia) humu jamvini unadhani inamaanisha kuwa wewe ndo una akili nyingi kuliko yule aliyejiunga leo? Acheni mawazo ya kitoto hayo...Na usemi huu nimeusikia ukisambaa sana humu jamvini kwa siku kadhaa. Na hizo ndo fikra mgando.
Ben ipotezee hii thread,itakuharibia.Thats how i feel!
Sasa hilo povu la nini?
Unisamehe kwani nimekosa nini?
ID yako kuwa na umri wa miaka mitano (hata ingekuwa mia) humu jamvini unadhani inamaanisha kuwa wewe ndo una akili nyingi kuliko yule aliyejiunga leo? Acheni mawazo ya kitoto hayo...Na usemi huu nimeusikia ukisambaa sana humu jamvini kwa siku kadhaa. Na hizo ndo fikra mgando.
Wakati wengine wana rumbana kuwa wenyeviti wa BAVICHA mgombea pekee wa nafasi hiyo DEOGRATIUS KISANDU inasadikika huenda akwa ndiye mshindi......wawooooooo KISANDU tunakutakia kumpindua KIKWETE bila kificho.
Kwamex,Nakusapoti 100% mawazo yako juu ya suala la umri jamvini, mbona CCM ina umri mkubwa kuliko CHADEMA lakini ndo dah!. tia maji, tia maji.
Mods mnafanya kazi ngumu sana,hata hivyo kuna threads zimeunganishwa hapa kwa watu watakaokuja baadae hawataelewa mtirirko wa hizi mada.Hawatajua kama ni thread tofauti zimeunganishwa.Otherwise keep up with the same spirit.Mnafanya kazi nzuri sana
Mkuu Narubongo,ben naona umenipa kathanks, hii comment niliipost kwenye thread ya mwanahazali anayeitwa baba clara naona mod ameiunganisha na post yako, nadhani mod wangejaribu kuwa na kaaplication kanakoonesha mtu alireply ktk thread ya nani, vinginevyo inatuchanganya
Ben leave it please!!!!!!!!