mods .... hawa watoa mada wa namna hii wanaiaribia JF status yake
please discard this rotten post
Hawa Mods kweli wana uvumilivu sana, maana watu kama hawa walitakiwa wale ban tu kwa kujaza server tu
mods .... hawa watoa mada wa namna hii wanaiaribia JF status yake
please discard this rotten post
Wakati wengine wana rumbana kuwa wenyeviti wa BAVICHA mgombea pekee wa nafasi hiyo DEOGRATIUS KISANDU inasadikika huenda akwa ndiye mshindi......wawooooooo KISANDU tunakutakia kumpindua KIKWETE bila kificho.
Hili jamvi sio la kampeni bwana we vipi? angalia utakula ban siku ingine!!!WAKATI WENGINE WANATUPIANA MADONGO UCHAGUZI WA BAVICHA Deogratius Kisandu NDO MGOMBEA PEKEE WA NAFASI YA MWENYEKITI ANAYESTAHILI KUTUNUKIWA NAFASI HIYO KWANI HANA SKENDO KABISA ...........HUYU NDO WA KWELI...........mimi mpiganaji toka MTWARA
ameweka kichwa chenye topic hiyo ili watu tuidandie na isomwe kwa wingi.... Ili ampigie kampeni mtu wake - ha ha ha
baba clara wewe ni noma ila agalia ma-mod wamo humu.
jf inaonekana kuwa ya watu fulani kisandu anasahauliwa namuwasilisha kwenu mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha kijana deogratius kisandu.........
Ukiwa na wapiga kampeni wa hivi, basi umeliwa. This is the weakest technique for campaigning. Naona wewe bado mdogo sana kuwa mwenyekiti wa BAVICHA.