Nini kimewakuta BAVICHA na UVCCM mbona ni kama hawapo? Napendekeza liundwe Baraza la Vijana la Taifa lisilo la Kisiasa!

Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa

Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama vya Siasa

Jumaa Mubarak 😃
vijana machawa, vijana ambaohawawezi kujadiliana, vijana wa div 0 kama wewe, vijana wa kujilomba wa nini? vijana wa kutafuta uteuzi wa nini?
 
Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa

Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama vya Siasa

Jumaa Mubarak 😃
Naunga mkono liundwe ila lisiwe baraza la chawa kitaifa 🤭
 
Nakumbuka JJ Mnyika na Jafo walipokuwa Vijana walipigania sana Uundwaji wa Baraza la Vijana la Taifa

Naomba Vijana wa Leo ifufueni Hoja ya kuwa na Baraza lenu lisilo na mrengo wa itikadi za Vyama vya Siasa

Jumaa Mubarak 😃
ili wawe na platform ya kurushiana matusi, ngumi, mateke, ngwara,viti na meza sio 🐒

hata hivyo ni wazo zuri sana, ila tutafute kwanza namna ya kudhibiti mihemko na ghadhabu kali sana walionazo vijana wa sasa hasa BAVICHA.

sijui ni kwasababu ya visungura, ukosefu wa ajira nzuri au hali ya maisha 🐒
 
CCM hawawezi kukubali kuundwa wa Jukwaa la Vijana la Taifa kwani wananufaika kwa kutokuwepo kwake na namna vijana wakiwa wamegawanyika ( wa CDM, CCM, NCCR, ACT wazalendo). nk

Vijana hawa wakipata platform moja wanaweza kuja na hoja nzuri sana kwa uhai wa Taifa letu hence kukitetesha chama kilichopo madarakani.

CCM si wajinga kuruhusu hatari ije kuwakabili.
 
Umenikumbusha Zitto Kabwe wa Buzwagi na huyu wa Kikosi Kazi cha Prof Mkandala 😂😂
 
Kweli kabisa, hawa jamaa wa Buzwagi wanajua walichomfanyia Zitto maana ghafla akabadikika kabisa watu tukabakia tumashangaa - Huyu ndiye Zitto kweli??

Siasa za ujana hasa za Upinzani zina changamoto nyingi na waliopita salama ni wamekwiva kweli kweli akina John Mnyika.
 
Kwa mtindo wa nchi ulivyo, hakuna kikundi chochote chenye ushawishi kitakachoundwa ndani ya nchi kisimilikiwe na CCM. Endeleeni kupoteza muda
 
Back
Top Bottom