Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
Nitumie kwenye namba hii
Nimejinyea mke wangu, nilitaka kujamba ila nikajiachia mpaka nashindwa kutembea kuogopa mavi yataangukaWajomba nawasalimu kwa jina la JMT.
Hii picha inasema mengi sana, pia ni picha nzuri na yakuvutia.
Wajombaa nisaidien kutoa caption inayoendan nayo
"MJOMBA MJOMBA nisikilize mjombaa acha na hao simba mjomba hiyo timu ya familia, Yanga ndio timu ya wananchi mjombaa, Mimi nakwambia mjomba simba bila paka haleti timu uwanjan mjomba".
View attachment 1838987
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu kwa upande wako nchi chini ya mama, we unaona inaenda sawa....!?JPM sijawahi kumuelewa na sitokuja kumuelewa