Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 320
Nimefikiria nianzishe post hii kwa watu wenye mapenzi mema tubadilishane vitu tunavyoweza kubadilishana bure kabisa ikiwa ni pamoja:-
1. Software
2. Vitabu mbalimbali
3. Details za kupata chuo, shule, shindano nk.
4. Resourcess za mambo mbalimbali. Websites zitafaa sana.
5. Na mambo mengine kibao.
Kwa kuanza kuonyesha hili natoa vifuatavyo download:-
Vitabu na data za vyuo: View attachment 29755View attachment 29756
Haya kwa wanaosoma mambo ya media: http//:Media College - Video, Audio and Multimedia Resources
Karibuni wandugutoa bure chukua bure! Weka chochote tusaidiane!
Thanks
Free open-source software for Tanzanians: Hermitscorp Laboratory
----
Free open cartoon project for Tanzanians: Hermitscorp Laboratory
----
C++programmers Network: cplusplus.com - The C++ Resources Network
----
GUI library for C++ programmers: Qt - Cross-platform application and UI framework — Qt - A cross-platform application and UI framework
kwa wale wanao download mavitus online ukikosa unachotafuta kwa thepiratebay.com nenda kwa hawa jamaa wansaarchi database zote na ambazo hidden online Torrent Search Engine hiyo ndo google ya torrents
Kwa wale wanaotaka kuangalia movies na Tv shows online waende hapo Project Free TV - Watch all your favorite tv shows and movies online free unafuata hizo links wanazokupa na ni free kama una real player media inaweza ikakudownloadia kabisa ukapata copy yako ya video.
Asante sana kwa hizi linkskwa wale wanao download mavitus online ukikosa unachotafuta kwa thepiratebay.com nenda kwa hawa jamaa wansaarchi database zote na ambazo hidden online Torrent Search Engine hiyo ndo google ya torrents
Kwa wale wanaotaka kuangalia movies na Tv shows online waende hapo Project Free TV - Watch all your favorite tv shows and movies online free unafuata hizo links wanazokupa na ni free kama una real player media inaweza ikakudownloadia kabisa ukapata copy yako ya video.
Asante mkuu
Mimi ndiyo maana nilijiunga JF!Jamani JF safi sana!! Tutafika mbali sana kwa elimu hii isiyo ya uchoyo.
poa mkuu tuko pamoja''Line Maalumu za Internet ya Bure! Waweza tumia kwa Simu au Computer. Piga 0716898788 kwa maelezo''. Uumm any1 evr tried this?nimeona kwnye link moja ilotolewa hapo juu.
HAYA WALE WANAO PENDA KUDOWNLOAD MUZIKI KWENYE SIMU ZAO HAPO SASA
www.manase.wen.ru
miziki yote latest,ni wapsite ya simu. Go tanzania Go!!
HAYA WALE WANAO PENDA KUDOWNLOAD MUZIKI KWENYE SIMU ZAO HAPO SASA
www.manase.wen.ru
miziki yote latest,ni wapsite ya simu. Go tanzania Go!!
Nimelipa kudownload naona inagonga mwamba......usanii mtupu!
Nimelipa kudownload naona inagonga mwamba......usanii mtupu!