Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,334
- 176,126
Kwani mfunguliwa siredi yuko wapi? Maana tumeijaza sisi yeye hajatokea.watu bahati zao
cc Da' Vinci
Kwani mfunguliwa siredi yuko wapi? Maana tumeijaza sisi yeye hajatokea.watu bahati zao
cc Da' Vinci
Oooh!! Sasa hulo si wamejaa wakenya na vile wanatudharau watz!!Forum ya Kenya
Sio hivyo mkuu, penye wengi sikuzote Pana menngi....tehteehhteeehhhhh.....
Mchokozi weweee!watu bahati zao
cc Da' Vinci
Na ww ndio unaonekana una mengiSio hivyo mkuu, penye wengi sikuzote Pana menngi....tehteehhteeehhhhh.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishatengeneza subforum ya TZ kama ilivyo subforum ya Kenya hapa JF.Oooh!! Sasa hulo si wamejaa wakenya na vile wanatudharau watz!!
Nilikua namtolea mfano yule anae ogopa ili aone demo....watu bahati zao
cc Da' Vinci
Uber imekuwa adimu kisa mataruma yamesinyaautumie Uber kuwahi kazi
Ah ah ah ah unajua uzi unatembea pasipo kuwepo mhusika wa upande wapil?
wakali wa hizi kazi naona umefungua machoNilikua namtolea mfano yule anae ogopa ili aone demo....![]()
![]()
![]()
Cc Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo mtu ana mengi ya kujib kwa mdogo wangu AsteliaNilikua namtolea mfano yule anae ogopa ili aone demo....![]()
![]()
![]()
Cc Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote niliyamaliza mkuu, hahahah...... Umenikimbusha mbali Sana wallah...Kuna kimavi kimoja hicho ndo nakikumbuka, kidogo watu wapigane humu wakikugombania aisee.