Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Hii kitu kitaalam sijajua inaitwa aitheee yan unakutabuyu ananyonya kitov mwingine anachezea nyayo za miguu aithee huu ushirikiano mtam sana aitheee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha kabisa, ila sasa mume ndio habebekiTenaaaa
Yale mapenzo yalikuwa kama yote.
Ila mwenza tulikuwa na mahaba, acha tu

Nchi jirani. Nawawakilisha kimataifa.
Endelen bass jaman kulikon kumwaganaTenaaaa
Yale mapenzo yalikuwa kama yote.
Ila mwenza tulikuwa na mahaba, acha tu
Hahahaa!! Siri yetu.
Nimemiss sekela za kwa bonge jamaniUmenifraisha sana kias kwamba unanipa ham ya kukupa ofa ya kwenda kwa sere bonge yule mpemba pale kino akupe sahan moja ya kiepe
Sent using Jamii Forums mobile app

Siri ya mtungi...aijuae kata.
Walai nakwambia espy![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani wewe!!
Ndo niko hapa napita.Nimemiss sekela za kwa bonge jamani![]()
![]()
![]()
Aya kaka angu ngoja sie tutoke huku sasaHahahahhaaa sawa dadaake
Walai nakwambia espy
Yan hii combination yenu nzur sana kama Jonh Bocco na Okwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn!! Kutiana hamu mwenza sio vizuri.Ndo niko hapa napita.
Nimechukua chips zege na kuku wa ndimu
