Akikujibu naomba unitag ili nikuje nisome tu, alafu basOk wewe ndo kwenye dp picha ya madame s?
If yes umzuri na unafaa kwa matumizi je pesa nayo ipo?
hapa kuna maswali mawili moja la madame lingine langug nitajibu langu kama ifuatavyo.Ok wewe ndo kwenye dp picha ya madame s?
If yes umzuri na unafaa kwa matumizi je pesa nayo ipo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mwenyezi Mungu akubariki sana....hapa kuna maswali mawili moja la madame lingine langug nitajibu langu kama ifuatavyo.
swali lako ni rahisi nitalijibu kirahisi...sina pesa ila nna vichenji yeye anasema vinamtosha.
NN upo? NakusalimiaJF Chit Chat has turned into lovers’ lane, lately!
But I wonder if it’s real or just flight of fancy!
Who the hell knows....
naomba tu nijibu kwa hiki nilichojibu sababu sijawahi kukujibuHivi hizi thread mnazoanzishiana huwa ni ukweli? Maana Madame S alikuwa nae anamuanzishia mdogo wangu yule hivi hivi. Na siku hizi sioni tena akimuanzishia, ghafla naona archeduke sijui, au ndio mdogo wangu alibadili jina?