To you my future hubby

Aiseeh
 
Pole sana ukikua na ukiacha kuangalia tamthilia, afu uishi real life utayaona hayo yote ulioongea km mtihani kwko.
Unweza mpata lkn ndoa haiko hivo unavyodhani. Tena ninyi mnaoongea ongea sana ndio unakuta umempata huyo unayesema afu vitendo F kbs.
Sinaga hata huo muda wa kuangalia tamthiliya wala movie that's not my hobby kwa mimi mwanaume atakaenioa nitamuheshimu na kumpenda siku zote za maisha yangu najua changamoto zipo na kuna kuchokana pia hilo nitakabiliana nalo kwa njia ya maombi ili kila kukicha upendo uzidi kwa mume wangu
 
Hi style mpya ya kujitotongozesha haijawahi kumuacha mtu salama... Yaani full fabricated life.. Kwa kifupi Wanaume hwakubaliana na drama za kwenye kiboard utaendelea kuota mpaka ndoto ipotee...Mapenzi Pesa full stop....Kila siku unaolewa mbona humheshiumu huyo anayekuoa kwa short time? au unadhani huyo Mwingine ni tofauti na hao wanaokuoa kila siku? Ndoa siyo Maneno Ndoa ni Vitendo na Kwa Wanawake Ndoa ni Kukubali Kutii na kuamini kuwa umeolewa na kuelewa kuwa Mke siyo sawa na Mchepuko. Once you understand tofauti ya Mume na Mwanaume ndipo utaona hizo hadithi zako kuwa hazifikiki.. Kweny hoja zako zote bado unamlinganisha Mume na Mchepuko which is very bad notion..

Kikubwa bado mpaka utakapobadili mindsetup zako.. Karibu tuendelee na tamthilia za Kihindi
 
This is what I like to call kelele za chura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…