Loh sana tuu ila na my usimsahau pls
Mhhhhh! mie siku zote nilikuwa nadhani Angel Nylon ni njemba
BAK acha utani kwenye maskhara kifaa changu hicho kaka
Mhhhhh! mie siku zote nilikuwa nadhani Angel Nylon ni njemba
BAK acha utani kwenye maskhara kifaa changu hicho kaka
Mkuu naweza kufanya maskhara kwenye mambo mengi lakini si jinsia, kweli nilidhani hivyo. Hongera zako huyu binti katulia sana.