To you Ephen

Hi ephen_ just wanted to let you know I'm eagerly awaiting your reply. Your words mean the world to me, and I can't wait to hear from you. ๐Ÿ’–"
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Wazee tunaogopa kuitwa matapeli katika umri huu

Hii wiki naona Vijana wameamua kuimbisha waziwazi jukwaani, alianza Lamomy ,ukaja wewe Leo hii ephen_ ๐Ÿ™Œ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Tatizo Pm zimefungwa babu, tukifungua huu upuuzi utaisha.
 
Dozi ninayompa, hawezi fikiria kwenda popote mkuu. Ukiona akaondoka, basi labda nijiharibie mwenyewe ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Hapo sawa ๐Ÿค—

Ni aibu kutowajibika Kwa Mke wako

Hata kama umemaliza nguvu huko nje hakikisha ndani lazima uondoke na hat-trick ๐Ÿ˜œ
 
Kazama, anamjua? Yani huu mtindo wa kushobokea ID ovyo kuna mtu tutasikia amepigwa pipe.

Yani wanashindwa hata kuomba pm zifunguliwe ili wakamwage sera zao huko, wanaishia kukata viuno majukwaani. Huu ni Uzi kama wa 10 wa dizaini hii.

Itabidi nianzishe kampeni ya kuwaomba wadada wa humu wafungue pm zao, madogo wana weweseka sana.
Akina Juniors bhana, je wakionana afu Ke akiwa na sura "reception" personal itakuwaje sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom