Sasa wakipostpone ndo hilo deni litajilipa? Walioamua hivo watakuwa ni wafuasi wa chadema ili wananchi waichukie serikali yao tu. Imagine, mzazi wa ambaye ni mwanchi wa Loliondo, pia mwanye mwingine ni mmoja wa wale zero laki mbili, tena mwanaye anayesoma UDSM hajamaliza deni akirudishwa nyumbani, atajisikiaje? CCM kuweni makni chadema imeshawateka watu wenu mliowaweka vyuoni.