Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Habari wakuu,
Ni mtumiaji mpya wa smart phone. bahati mbaya nimebonyeza narrator bila kujua na anataja kila ninachogusa. Natoaje?
Natanguliza shukraan