To the love of my life...

To the love of my life...

Kumbe wapo walio wenye really love ila bado kushawishi moyo kumuamini mwanaume dooooh bado nipo nipo kwanza
wapo tena sana..cha msingi uombe kuongozwa na mwenyezi mungu.ukimpata wa ubavu wako basi mambo yenyu yatanyooka.wanasema kwamba mapenzi na mahusiano ni kama kiatu size yako..si kikubwa si kidogo,hakikubani wala hakitokitoki..yani it fits you perfectly sio kulazimisha..ukimpata mwanaume anayekupenda hata hiyo issue ya trust haitokusumbua
 
Mimi naimani huenda Na nyota
 
IMG_20170920_104909_400.jpg
IMG_20170920_105006_324.jpg
oh my God!!yani hata sijui niseme nini![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ahsante sana sana sana my darling.Mungu akubariki sana.
 
View attachment 592079View attachment 592080oh my God!!yani hata sijui niseme nini![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] ahsante sana sana sana my darling.Mungu akubariki sana.
Ushauri usiweke kila kitu open kuhusu mahusiano yenu sio wote wema kwenu nakumbuka sio wote watapenda kukuona unafuraha ,sio wote watapenda kukuona unafanikiwa be careful dear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom