mkuu BAK nakuomba kwa hisani yako kakangu.niwekee ule wimbo wa shania twain wa forever and for always hapa.pliz
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]
Thanks mamii😉😉ahsante mamii.kesho umekaribishwa utusaidie kukata keki mpenzi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
mtamu sana!Aisee we mkaka upo vizuri.......hiyo nyimbo umenikumbusha mdogo wangu kipenzi ambae hayupo Tanzania
Aisee we mkaka upo vizuri.......hiyo nyimbo umenikumbusha mdogo wangu kipenzi ambae hayupo Tanzania
thanks big stallion[emoji4]Hongera na kila la heri
Acha tu mamiimtamu sana!
Mtaftie mume Miss Natafuta ana ukame wa wanaume amekua ka ndimu, muokoe mwenziothanks big stallion[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuuJapo sijui kithungu ila nimeelewa kwa hisia
ahdante seiph.nitaku pm baadae mamiiCongratulations s*[emoji7]
ahsante sana sana dear Sakayo.ubarikiwe kwa dua yako juu ya maisha yetu!!Hongeraa mnoo, Mungu azidi kuwapa maisha marefu na yenye furaha daima!!!! Mpendane kwenye kila khali na Muone kizazi chenu cha nne
mume anapeana Mungu..sisi tunajiongeza tu!Mtaftie mume Miss Natafuta ana ukame wa wanaume amekua ka ndimu, muokoe mwenzio
mkuu vipi tena unatutakia mabaya?Ukisikia ana mtt nje usipanick
Aminaahsante sana sana dear Sakayo.ubarikiwe kwa dua yako juu ya maisha yetu!!