To some and some times...

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,901
Reaction score
27,421
You can take a girl out of Village but you can never take a Village out of her.

 
Zubeda wa Prof Jay.
Ha ha ha, nimeipenda na ni kweli 100%
 
Safi sana,na huo sio ushamba ni style moja wapo ya mapishi.
 
Sasa akiyaunguza hayo maeneo muafaka?! Lol

Hiv huwa yanafikika kirahisi na moto? sababu nikijaga mjini kule kwetu kwtu uswahilini huwa nawaonaga akina mama kwa akina dada wapikao chapati wakiwaga wameusogelea moto kihivyo, nikajuaga hawaunguagi....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…