To my lovely mom

Heko kwako mama Molembe bila wewe nisingefika hapa nilipo.
 
Last edited by a moderator:
semeni kwa vitendo sasa...

theory zatosha!

maisha marefu hayawezi kuja wakati mama anashindia njaa!

analala huku akinyeshewa kwenye kibanda cha nyasi!

mama huyo huyo ndiye akuleleee watoto wako unaopata bila kutarajia na hata kwa kutarajia!

ifike wakati tuwapende mama zetu kwa kuwaweka mazingira mazuri japo basic needs zote azipate kwa wakati muafaka!
 
Hongera my mom kwa kunilea katika maadili ya kiafrika hasa mungu akujarie maisha marefu uje ule matunda matamu kutoka kwangu
 
Hongera wanawake wote duniani, i love you all, Happy women day.....!
 
u say the true mkuu Excel weng wetu twasema kwa maneno lakin mama zetu wapo kweny mazingira magumu wengine wanaishi kweny mazingira ambayo hayaelezeki

unakuta mama yupo na wajukuu anawatuza,analipa ada za shule,nyumba mbovu sisi tupo mjini tunakula maisha tubadilike tuwapende ,tuwaheshimu na kuwatii tuwape mahitaj muhimu kwani wazazi ni wa muhimu kuliko watu wote duniani
 
Last edited by a moderator:

observation nzuri ICHANA!.. hebu tazama hapa halafu unene kwa picha..



kuna gap kubwa sana kati ya hawa wawili..
 
Last edited by a moderator:
observation nzuri ICHANA!.. hebu tazama hapa halafu unene kwa picha..



kuna gap kubwa sana kati ya hawa wawili..

acha tuu boss GAP ipo tena kwa mbali bora huyo mama ana vipande vya kanga na tabasamu watu watabisha bt mimi nasema tu ..
wsanii,watu na pesa zao,vijana wengi hatuwakumbuki wazazi unakuta mtu anagopa hta kukupeleka kiijini kwa maana wazazi wamechoka utadhani bibi na babu bt ukichunguza hawajazeeka ila wamechkaa kwa maisha magumu...mtu mjini anauvuja pesa kwake pesa karatasi mzazi anaishi nyumba mbovu ndo stoo,huko huko wanyama,wajukuu daaa inauma

kwani kujenga nyumba ya tofali 3 room weka bati ya kawaida 32 inch usiweke hata vigae or ALAF a.k.a mgongo mpana ya south inacost nini????? mtu anaenda kumsalimia mzazi alafu unalala gest house town...
 

wengine mpaka kusema kwao wapi inakuwa shida....!

vijana wa sasa tumeharibika sana mbali ya kuwa na elimu kubwa!

wakiulizwa wanasema 'we are busy'!!
 

Amen chukua like.
 
wengine mpaka kusema kwao wapi inakuwa shida....!

vijana wa sasa tumeharibika sana mbali ya kuwa na elimu kubwa!

wakiulizwa wanasema 'we are busy'!!

umeonaeeee blah blah laki kumi
busy kuhonga plus luxury things
busy collecting stone while precisious people wanakufa
elimu tunayo bt haitusaidii tunakimbizwa na upepo wa ulimwengu huu
 
umeonaeeee blah blah laki kumi
busy kuhonga plus luxury things
busy collecting stone while precisious people wanakufa
elimu tunayo bt haitusaidii tunakimbizwa na upepo wa ulimwengu huu

fainali hua uzeeni.... sijui turudishiwe wakoloni tujitambue kwa nguvu? LOLZ!

vijana wa sasa hatujielewi kabisa! starehe zimetumeza!
 
fainali hua uzeeni.... sijui turudishiwe wakoloni tujitambue kwa nguvu? LOLZ!

vijana wa sasa hatujielewi kabisa! starehe zimetumeza!


fainal uzeeni unaachishwa kazi kijijin huna hata banda la kuku loooooooo......
Ingewezekana ukoloni kwangu poa sana cos uhuru tumepewa ilatumeshindwa kuutumia
1..Tungewekewa sheria kabisa mara ngapi kwenda vijijkuwatembelea wazazi/auncle/aunt n.k
2..kipind cha holiday kuwa na wazazi wako wherever they are town or village ili tujue ni yapi yanahitajikakwako unakuta jitu me/ke home hana hata kitanda,nyumba,home hakuna umeme,vyombovya ndani ,hata yale simple ya kufanya home paonekane like home hakuna

utasikia mjinianajisifia nimemtumia baba or mama pesa ukimuuliza kwanini huendi kuwasalimiaatasiki niende mimi nikafanye nini pesa ndo muhimu ….uuuups sisi kizazi chaulimwengu tunasahau uwepo wetu ni furaha sana kwa mzazi.huwa wazazi wanafurahisana pindi tunapowatembelea

we ave to change sure

 
watu bwana unaleta humu ili iweje.si ungemtmia msg mama yako,kwan nan hana mama
 
MAMA, MAMA, MAMA

Nakupenda MAMA

Bila ya wewe mimi si kitu MAMA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…