Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #61
Halafu unajua unanichokoza Kaby...
unadhani akikusikia unamletea majungu hivyo atakuonaje?
Hapa hata nikigoma pesa ya kumpeleka mtotk shoping Dubai ipo....
Ngoja amy akija useme mbele yake haya manenonasema ukweli wala sio majungu mbaba wote yule eti ni kaka'ke lol?unaliwa mchana kweupeee
Ngoja amy akija useme mbele yake haya maneno
si uko nae?muite aje
Akija online...
Kaby ngoja nijipunzishe....
Gud nyt sister...
Wifi hii kitu ina hati miliki?
nyts to you bro! Have pipi dreams
yah say more please
Ngoja nilale maana naskia harufu ya BAN...
hehe kama namuona alivyotoa meno yote nje,lucky you! am lonely here.
Mistari imetulia hiyo.....hata kwa kudanganyia!!
Ziba masikio...
Thank you for this useful post in the realm of poems.
Natamani hili li poem lingekuwa dediketed to ODM and only him.
Dah!
Hehehehe!kwa raha zake mme wangu full kutabasam lol!hope dawa shem wako dawa tamu anakupa kampany la kutosha!