Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
ina maana yuko hapo?mfinye niskie
Teh anacheka tu....
@Amyner...''Nimekusoma Kaby....Thanks"
ina maana yuko hapo?mfinye niskie
Teh anacheka tu....
@Amyner...''Nimekusoma Kaby....Thanks"
great,hope hataenda tena kwa fataki
Akafuate nini huko?
hehe impossible,.
hehe uporoto wangu,kasafiri kikazi nimemmiss kweli.Haya mtumie haraka baba watoto.
ndo umuulize,vipi ushaanza kwenda kazini?
mtapeana mimba bure
kuweni makini, wengine wanafunzi humu.
miss you amy
Kweli we Tomaso...huamini na hilo?
Pole sn my dia!nishamtumia saa nyingi atiii!
Kwenda kazini usiku?
Miss u too kaby dear.. Though i invited u kwangu halafu u didnt show up...
Lolhaya mpe salamu zangu,mwambie ule mzigo wake alonipa Jacob ntampa kesho.
si mligoma nyie au umebadilisha fani?
Lol
Sina hata pressure mwenzio....
Ndo kwanza nakunja mguu coz Jacob ni kaka yake mkubwa....
Aah si tulishalegea longtime....lol ni mateso bila chuki
basi ana kaka mzee kweeli.
na bado,,bora usigome tena amy atakukimbia kimoja