To My Archduke

To My Archduke

Kawa mpenzi mtazamaji wa rufufu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanifurahisha ukifatilia mambo ya jf utapata tabu sana watu wanajifurahisha tu maisha yaende waone vyuma rahisi
 
😀😀😀
Kama wapenz wa jf ingekua ni ukweli basi nami ningeshika namba kati ya mtu niliyepitia papuchi nyingi toka JF. Nakumbuka kila demu alikua akitia mguu Kapuku namdaka. Teh teh
ahahahaha hujaamua tu
 
Mm nilikua nishafanya sala bibie ajifungue salama. Nikapendekeza kabisa majina ya mtoto (Jf,Sired na Mod) Hafu nikawa kweli siriaz kuulizia mama mzazi anaendelea vipi.

Nikasahau kua ni 1 April Fools day.
Lee nilimtukana sana. 😀😀😀
ahahahahahahahahahaha daah umenichekesha sana aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nilikua nishafanya sala bibie ajifungue salama. Nikapendekeza kabisa majina ya mtoto (Jf,Sired na Mod) Hafu nikawa kweli siriaz kuulizia mama mzazi anaendelea vipi.

Nikasahau kua ni 1 April Fools day.
Lee nilimtukana sana. 😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom