To My Archduke

To My Archduke

Mwanaume mzima unafatilia mahusiano ya watu itakuwa shoga wewe si ridhiki

Tukibebishana mnasema haya tumetulia tunakula matunda mnasema

Binadamu mnataka mpaka tuwanya.mbie kwenye mapaji ya uso ndo muache ufukunyuku wewe punga si buree au james delicious
Bahati mbaya sana niliandika kimasihala sana, naona umechukulia too personal, pole kama limekuudhi.
 
Kama ni surprise umeniweza, yan nasoma hii comment ako neno kwa neno, imekua kama kule zile sms unanitumiaga navyozisoma,asante kwa kuifanya siku yangu niianze kwa kutabasam, asante kwa kukubali kunichagua kati ya wale wote babe. Nakupenda, nipende na tupendane tufike mbali, uwe hivi hivi usibadilike

Unipende hivihivi usipunguze na wala isitokee ukapunguza upendo huu, univumilie na mapungufu yangu, hata usichoke nadhani unaelewa why nakwambia hivi

Thanks babe, I love you more
nitakupenda hivi hivi kipenzi changu siku zote nitakuwa hivi

sitapunguza hata kidogo babe pia sitaongeza naogopa utawehuka mpenzi
 
nitakupenda hivi hivi kipenzi changu siku zote nitakuwa hivi

sitapunguza hata kidogo babe pia sitaongeza naogopa utawehuka mpenzi
Hahahaaa, hapo hujamaliza kitabu umeshamteka Madame ukifikisha mwisho kweli lazima awehuke tu mkuu,😀😀
 
Mpska sasa hivi bado naimba ule wimbo wa brother diamond NIMPENDE NANI?
Ila ww madame sisi wanachama wa Kapuku forum tunafaham ww ni shemuu kwa Baily5 ysmewakuta yapi tena?Hafu uzuri na Arcduke nae ni memba kulee🙂🙂

Alichofanyia Paprika hakiayamumgu diwez sema,Ila nichojifunza kesho siwaamini wacheza dimema za JF, Moyo aliupatia mateso siwez kumeza siwez tema ndomana sikushangaa ile gafla Shunie kutoka kwa Lee Empire kwenda kwa Davet..

I miss you @Papriks
hapa kuna mada 6 zimeongelewa katika comment 1 tu ahahahahaha pacha

nakukumbukaga mshikaji wangu....
 
Cc.
@Aisha2016
Sijui nimepatis nikiikumbuka nitamtag
nenda kapuku kule ukaload zile comments unaweza ukafanikiwa labda 😀 😀

nakumbuka hiyo ndiyo ilikuwa username yake, labda amebadilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom