To My Archduke

To My Archduke

nitakupenda hivi hivi kipenzi changu siku zote nitakuwa hivi

sitapunguza hata kidogo babe pia sitaongeza naogopa utawehuka mpenzi
Honey naomba usipunguze ni vizuri nikiwehuka pia
 
😀😀😀
Kama wapenz wa jf ingekua ni ukweli basi nami ningeshika namba kati ya mtu niliyepitia papuchi nyingi toka JF. Nakumbuka kila demu alikua akitia mguu Kapuku namdaka. Teh teh
Habi habi, hukunipata abadan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom