Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Ajabu hii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshipa kumbe ni babu
Ajabu hii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshipa kumbe ni babu
Wala si utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kuyaelewa mahusiano ya JF utapasuka.
Kama wasanii...
Ajabu hii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa Miller bado yuko mashambani,.sikuwa nimeota nimetamka kabisaaa laiv laiv mpaka nikajicheka yay[emoji23][emoji85]Usiniambie ulikua waniota, Miller hakua somewhere near? Maana ungemka na kesi
Wala si utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babu mshipa njoo huku utuoneshe mvi sie...[emoji23][emoji23]Hahaha yaani nimeshangaa sana
Duuuh hili povu aisee sio poa. Waweza fulia mablanket yote ya wodi nzima yakaisha.Mwanaume mzima unafatilia mahusiano ya watu itakuwa shoga wewe si ridhiki
Tukibebishana mnasema haya tumetulia tunakula matunda mnasema
Binadamu mnataka mpaka tuwanya.mbie kwenye mapaji ya uso ndo muache ufukunyuku wewe punga si buree au james delicious
Yaani sasahiv ni msimu wa kudondokeana tuu,.we tulia utasikia umeshushiwa love-nyuzi....hahahahHa ha ha, nafurahi sana humu.
Ngoja nijipange, ukute nyota ya kubebishwa ikaniangukia.
Yaani sasahiv ni msimu wa kudondokeana tuu,.we tulia utasikia umeshushiwa love-nyuzi....hahahah
Kisa??Ntabadili ID ikitokea hiyo, au nakuwa naingia kama guest user.
Kisa??
Oohoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji475][emoji475][emoji475]Nina wachumba wengi humu, mmoja akiandika atakuwa ameharibu kila kitu.
Daah hii ndo wanaitaga "linguafranca"Ok I am know that she is love your husband, very very congratulation to you. To have be able to say to us as audience is took courage.
Ha ha ha, nafurahi sana humu.
Ngoja nijipange, ukute nyota ya kubebishwa ikaniangukia.
Basi uendeleage kulifanyia mazoezi ya kulitamka hivyohivyo eeh, usilisauHahahahaa Miller bado yuko mashambani,.sikuwa nimeota nimetamka kabisaaa laiv laiv mpaka nikajicheka yay[emoji23][emoji85]
Ntabadili ID ikitokea hiyo, au nakuwa naingia kama guest user.
Nina wachumba wengi humu, mmoja akiandika atakuwa ameharibu kila kitu.
Hapo sasa,.hawajui pengine wamebadili lifestyle yao,..Kwa hiyo ukaona ndio wameachana?? Huwez jua wameamua pengine kua hivyo, jf ni sinia pakua unachoweza kwa size yako.