To ''love'' and ''feel loved''...!

Daaaaah
Hii hoja yako bana Daaaaah
Naona una ajenda ya kunikata miguu na shoga yako sio???
 
Daaaaah
Hii hoja yako bana Daaaaah
Naona una ajenda ya kunikata miguu na shoga yako sio???

Toa jibu moja NDIO au HAPANA...

CPU we still need you... siwezi kubali mtu akukate miguu while niko hapo...
 
Reactions: CPU
Toa jibu moja NDIO au HAPANA...

CPU we still need you... siwezi kubali mtu akukate miguu while niko hapo...

Aiseeee:dance::dance:
Kwanza naomba usiniite shem, bora uniite CPU kavu kavu kuliko hilo jina
Anyway mi nilishaapa kwamba NITAKUTAFUTA POPOTE ULIPO
Hata nipelekwe Segerea nikitolewa tu naanza upya kukusaka
Nitakufanyia chochote ukitakacho kilicho ndani ya uwezo wangu
Nitakupa chochote kilicho moyoni mwangu
Nitakujali leo na hata kesho niwe na furaha moyoni mwangu
Haki yangu ni kuonyesha upendo kulingana na matakwa ya moyo wangu
 
Aiseeeeeeee!!!Haya bana mi mtazamaji tu!
 
Reactions: CPU

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Reactions: CPU
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

Shoga ako ana uwezo mkubwa sana wa kuelezea mapenzi na kutatua matatizo mbalimbali ya kimapenzi
Hata robo ya uwezo wake simfikii.

Laiti uwezo wake wa kuyaelezea mapenzi matamu kwa ufasaha angeuhamishia LIVE tunapoishi yote haya ninayosema ingekuwa ni ndoto tu
Nayatamani sana mapenzi anayoelezea lakin kwa watu, lakin nitayapataje?? Nimeshamueleza mara kibao lakin wapi
Na mimi nahitaji kupata mapenzi sio kusimuliwa tu
Asha pleaseeee

ha ha ha ha ha ha ha
 
CPU na surrender kua umenishinda.... Hapa naona nimuite mwanaume mwenzio so that you have a one on one men to men talk.... Na kama shoga yangu anaishia hadithi kitu gani kinakufanya mimi itakua vingine ha hali Birds of the same feather flock together???
 
I need a shoulder to lean on....partner where you at???!
 
I need a shoulder to lean on....partner where you at???!

Nipo Mpenzi ... Huyu atatuendesha vichwa vyetu dear... umeona maneno alonipa kuhusu wewe... eti kweli umpi??? Hicho ndo kilio kilipoegemea.. what i dont understand sijui kaona mi mrahisi sana kuliko wewe....
 
mpende akupendae asiyekupenda achana nae kwani lazima.........
 
Ukiwa unapata tatizo kutenganisha kati ya: wapenzi wako, watoto wako, wajomba, washkaji, ma-ex, wazazi, walimu, maboss wako, ma-clients wako, lazima uchanganyikiwe ni aina gani ya upendo unaohitaji kutoa au kupokea katika kila moja ya makundi haya. Kama tofauti baina yao haikusumbui; to love or feel loved won't be a problem either.
 
We ndo umechanganya kabisa... Steve Dii mapenzi tunayozungumzia ni ya yule anaekuhamisha akili na the whole of you ... ukiona yeye ndp yeye na ndo wa kumuabudi...lol... Nani atachanganikiwa mapezi ju ya kaka sijui mjomba au mwanao...
 
...daaah, mi 'kajua nimegonga penyewe aaah, kumbe nishachanganya madawa na kuzidisha kipimo!:biggrin1:

Anyhow... bado unaogopa tu??! lol
 
yaani from page one hadi hapa, hii post ni muhimu sana...naisave for future use

thanks babe...
 
am right here and, genuinely, worry not about him....CPU, can you make your case here? of course, Lizzy is also watching.....now stand up and talk to me...
 
yaani from oage one hadi hapa, hii post ni muhimu sana...naisave for future use

thanks babe...

Darling with pleasure.... Tatizo tu huyo CPU akiona haupo ndo shughuli zake kama ulivyooona... but anyways what more would I want when I have everything in you K..... Hell nooooo......
 
am right here and, genuinely, worry not about him....CPU, can you make your case here? of course, Lizzy is also watching.....now stand up and talk to me...

I Looove the sound of that.... thanks darling..... :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Darling with pleasure.... Tatizo tu huyo CPU akiona haupo ndo shughuli zake kama ulivyooona... but anyways what more would I want when I have everything in you K..... Hell nooooo......

Now thats ma babe talking....u've got me and everything you need...hahahaha....wapi my favourite wine darling?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…