Hello members,
Nilikuwa ninaomba kuelekezwa namna ninavyoweza kubadilisha .bin file into pdf hasa namna ninavyoweza kusoma files/documents za humu JF ambazo zinakuwa katika mfumo huo wa .bin
Ikumbukwe bin files pia ni backbone ya programs zingine.. unawez download bin file ukairun then ikareplace bin file ya program original.. ikakaa yenyew na ww bila kujua ukawa umefungulia backdoor under MITM attack.