MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Hao waafrika aliotaka kuwaunganisha wakwapi kumtetea kama alikuwa anawapenda sana na kupendwa sana???vita vya idi amin ni kizungumkuti wa kulaumiwa ni baba yetu aliyetupeleka kupigana vita kwa maslahi binafsi fuatilia ndugu ujue ukweli.........sie ndo tulilianzisha lile dude ndugu yangu
pole wewe
I SUPPORT GADAFI sawa hawezi kukosa mapungufu yake BUT UKWELI NI KWAMBA ALITTHUBUTU KUWA MADHUBUTI NA IMARA NA MWIBA KWA MATAIFA MAKUBWA.. na hii ni mbinu imepangwa ya kumuangushia mbali. INASIKITISHA

Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..

Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...

But the world does no longer need honest and free monded people...

Gadafi pole sana.
pole sana!Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Unafki mbaya sana..!si alikuwa anatoa misaada misikitini mbona allah hamsaidii muda huu anamwacha anakula kichapo ,nimeamini mungu wa Gadafi aka allah ni mdhaifu sana !inamaana kazi ya kujenga mosque that gadafi did ,mungu wake aka allah kaona ni ujinga tu na hakumpa thawabu'!poor gadafi !i hate gadafi ,killed my grandpa at kagera war with that fool Idi amini!
..............Hao waafrika aliotaka kuwaunganisha wakwapi kumtetea kama alikuwa anawapenda sana na kupendwa sana???

Iko wapi AU? wako wapi washkaji zake from africa?? au wakishatoa tamko ndo basi tena!!!
Gadaffi nitakusapoti na kukuenzi mpk siku naingia futi 6 ardhini au siku nitakayo poteza pumzi.
............Naheshimu maoni ya waungaji mkono wa Gadhafi,lakini niko na shida na uelewa wetu kuhusu haya mambo ya siasa. Tatizo letu kubwa watanzania hatupendi kujisomea na kwa hiyo kupata maarifa zaidi. Ndiyo maana tunaongozwa kijinga,na bado unakuta mkoa wenye umasikini wa kutupwa ndiyo ngome ya chama tawala. Ujinga na Umasikini umetufanya kuwa mashabiki wa vitu vya ajabu. Alichokua anafanya Gadhafi ilikua ni ulevi wa madaraka. Alikwisha poteza muelekeo miaka mingi iliyopita.
..........................Unamshangaa Mungu wa Gaddafi amabaye hakumsaidia muumini wake? Mbona kuna habari za Mungu aliyeshindwa kujisaidia mwenyewe na akatundikwa msalabani huku akitapatapa na kulalamika kwamba 'ametupwa'!!
Pole mkuu. Kila kiongozi wa dola yoyote dunia hii lazima atakuwa na wanaompenda na wasiompenda. Wakti wake umewadiaIts an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.

Nenda memkwa kajifunze kuandika....ushuzi mkubwa wewe