To attach a file at JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To attach a file at JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga, May 11, 2009.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nashindwa ku-attach file la PowerPoint hapa JF.

  This is so sad...
   
  Last edited by a moderator: May 11, 2009
 2. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  ??????????????? Umeamka nazo konyaji kichwani?? Sad what
   
 3. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Asante kwa kashfa...lakini nataka kuweka attachement ya power point presentation inakataa
   
 4. J

  John74e Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: May 9, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nina shaka nae !!!Sad kitu gani :confused:!!!
   
 5. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Power point imekataa kapotea kabisa, MOD futeni hii
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Nimeona nisiifute... Nimsaidie huenda ikasaidia na wengine.

  Please, kwa wale members tafadhali tafuta WinRAR programme hapa:

  Winzip + WinRAR

  Kisha ukiwa unataka ku-attach doc yoyote iwe PowerPoint au Excel au chochote hakikisha unaki-ZIP ili kukipunguza ukubwa na ndipo u-upload (attach) hapa JF.

  Karibu.
   
 7. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Invisible,

  Let's be perfectly straight with each other here. Uki zip faili au kuli-rar unapunguza around 1%. Faili la 10MB linaweza kuishia na 9.8MB. (Naongea from experience, nina send mafaili makubwa na madogo on line like it's nobody's bizness.) Ukitaka tutafanya experiment hapa uone tofauti ya "compressed" file na la kawaida.

  Na hata kama ingekuwa inapunguza in any appreciable manner, hivi kuna concern ya space hapa? Kuna tofauti gani kati ya mtu kubandika li powerpoint la MB 20 na watu 20 kuweka matundiko ya MB moja kila mmoja?

  Kuna concern ya urefu wa mabandiko hapa, namaanisha data storage?
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Concern ya space kwenye server ipo.

  It is true that some files when zipped or rared won't compress much, mfano picha.
  Uki-rar ppt au pps file, size inaweza kupungua kwa 50% or even less. Pengine jamaa amejaribu ku-upload file lenye ukubwa zaidi ya 2.86MB ambayo ndiyo limit - akashauriwa ali-zip ili kuondokana na tatizo? (that is my guess).
   
 9. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  That is your "guess"? Ningependa majibu ya uhakika kutoka kwa authorities, au nihakikishie kwamba na wewe una "security clearance" ya ku speak on matters of internal policies and concerns za wenye jamvi.

  Concern ya space kwenye server imeanza lini? Jamvi linalokaribisha unlimited number of contributions lina concern ya space? Kwa hiyo tuanze ku edit post ziwe fupi fupi, au?

  Hiyo limit ya 2.86 imetoka wapi? Kuna siku mtu alikuwa anashindwa ku upload file moderator akasema ameongeza limit mpaka 50MB, je ilikuwa temporary updgrade?

  Concern ya space imeanza lini?
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwanini unadhani hakuna concern ya space kwenye server ambako deleting old content is not performed?

  (I'm not speaking on behalf of MODs or owners)
   
 11. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna deletion lakini kuna wakati jamvi linafungwa kufanya archiving. Archiving ina free up space maana inafanya appreciable compression. It's sort of deletion.

  Pia, data format inayobandikwa hapa kwa kiasi kikubwa ni text na sio gigabyte gobbling movies, software, audio, na images kubwa kubwa kwa sana. Sasa mtu akitaka kubandika ka slide ka powerpoint once in a blue moon I just don't see why you would make a TAKUKURU case out of it.

  Hili jamvi linakaribisha unlimited size of membership and post size, check me if I am wrong on that. Mtu akitaka ku post, unless harudii posti ile ile na kuvuruga mtiririko wa thread, anaweza ku posti hapa mpaka uso ugeuke hudhurungi, hakatazwi. Iweje vuu bin ghafla tusema tuna concern ya space hapa?

  ( Na nashukuru ulivyo declare kuwa wewe ni mwanajamvi sio mwenyejamvi, na nashukuru umenijuvya kwamba degree of compression inategemea na format ya original file.)
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  May 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Dilunga na LazyDog,

  Nashukuru kwa comments zenu wakuu, zinajenga na nimejikuta najilaumu kwa kutoeleza kwa kirefu.

  Sababu kubwa ya kuwambia watu wa-zip au wa-rar files ni kwakuwa kuna formats nyingi sana na kadiri siku zinavyokwenda ndivyo M$ wanavyozidi kuzibadili.

  Mfano. .doc nowadays inakuwa .docx sasa kuwa tunabadili kulingana na format ya kila mtu itakuwa usumbufu (japo si mkubwa) hivyo basi tunaomba mjaribu ku-zip files na wala ukubwa wa file si tatizo, tukiona ni kubwa kuliko size tuliyotenga basi tunaongeza size. Tuna space kubwa sana, 10TB (10,000 GB) space nadhani inatosha kwa JF peke yake!

  Ahsante, na samahani kwa usumbufu... Nimeeleweka?
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Standardization sio jambo baya especially kwenye public domain

  Mkuu 10TB kwa JF pekee yake, that sounds very good - JF Idumu.
   
 14. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Invisible na wengine please see the attached.
   

  Attached Files:

 15. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Samahani sana kwa usumbufu uliotokea...
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tusiwe tunapongeza tu...tuchangie walau kidogo mambo yawe mazuri....hongera na pongezi wakati mwingine hazisaidii sana!
   
 17. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  subira yavuta heri kuwa na staha kidogo
   
 18. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  thanks kwa uvumilivu maana kuna watu wameomba sana hiyo attachement niiweke huku
   
 19. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #19
  May 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Umesomeka... Hii attachment nimeshatumiwa kwenye mail zaidi ya mara 50 since 2003. Basi inabidi nichukue hatua :)
   
 20. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  thanks mkuu nitashukuru maana inatisha
   
Loading...