Siku ya wanawake duniani haitabadilisha lolote tusipobadilisha attitude zetu dhidi yetu wenyewe wanawake. Ni hayo tu.
![]()
Mwaaaaaaaah kwa wanawake wote! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
When men find out that they slept with the same woman, they just cheer up,
Babu DC!!
Really babu, ukigundua jemba lingine linamsalua bibi utacheer up?
Hizi propaganda za wanawake kutopendana na wanaume 'kupendana' zimefanya kazi kweli.
Ndugu yangu Kaunga,
Mimi nimesema kuwa nilisoma mahali....please read again...
Na sikuongeza kitu......unadhani naamini hivyo?
Halafu sidhani kama ile quote ililenga mke/mume....
Babu DC!!
Najua huamini hivyo; sikutaka idea kama hizo zipite bila kupingwa si unajua kuna vitoto kibao vinapokea tu vitu like empty jug.
Kazi ya mikono ya (propaganda) wanaume hiyo!
Most of us mean it when we compliment another person, sio mwanamke pekee.
It is in men's interest IMO when women fight with each other na ndio maana wengine wanaongeza wake ili kuwe na competition itakayopelekea mwanaume kuwa treated like kagod.
Siku ya wanawake duniani haitabadilisha lolote tusipobadilisha attitude zetu dhidi yetu wenyewe wanawake. Ni hayo tu.
![]()
Mwaaaaaaaah kwa wanawake wote! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Wanaume wakigundua wametembea na mwanamke mmoja wanacheka, wanawake wakigundua wametembea na mwanaume mmoja wanapigana.
ujumbe wa haja haswaaaaSiku ya wanawake duniani haitabadilisha lolote tusipobadilisha attitude zetu dhidi yetu wenyewe wanawake. Ni hayo tu.
![]()
Mwaaaaaaaah kwa wanawake wote! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: