cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
- Thread starter
- #81
mimi naomba niweke tangazo hili ili nieleweke zaidi
"kama kuna mdada yeyote hapa JF ambae kwa namna moja au nyengine amefanana na huyu mdada kwenye sredi hii na nilimtumia PM, naomba anirejeshee PM zangu kama nilivyozituma"
asanteni kwa ushirikiano.
hahaa mpwa unaniua kwa kicheko ujue.
ila klorokwini hebu tuongee ukweli,hivi kama kitu hukipendi si ukiondoka hugeuki tena nyuma,lkn mpwa wangu ww umekua hukauki kila dkk unakuja kuchungulia hizi picha tena nahisi kausingizi kazuri ulikapata jana baada ya kuiona picha ya huyu mdada.
mpwa usiudhulumu moyo wako,ukichelewa wajanja wakakuwahi ujue jinsi ya kuhandle heart attack,sitaki kukupoteza mpwa wangu kwa vitu vinavyoepukika.