to all my single boyz in here..

Si dhani kama ni busara kutumia picha ya mtu na kuijaza maneno tena bila idhini yake. Huyu binti na ni PUNGUANI yaani HANA AKILI TIMAMU, Anapatikana Mwanza na anapenda kutembelea maeneo ya Nyakato na Kirumba hasa kwenye Bar. Nikweli ukikutana naye kwa mara ya kwanza atakushangaza kwa mapozi na miondoko yake na hasa jinsi anavyopiga mzinga ingawa hakulazimishi kumpa hela. Anajisifia sana kwamba anapendwa na watu hasa wanaoenda kwa ajili ya kampeni mbalimbali kwamba wanampatia kofia za kuvaa na t-shirt. So sijafurahishwa na jinsi mtoa maada alivyo mpa maneno as if yeye ndo kasema hivyo. Nimelazimika kusema hivyo ili kutoa angalizo kwa wale wasiomfahamu kuwa huyo ni punguani na ukikutana naye usimshangae sana. LAKINI UTAPENDEZWA NA JINSI AMBAVYO ANAPENDA KUKAA SMART.

naomba kujitetea my dear,sina nilichoongeza wala kupunguza,hayo maandishi yote ya blue sio yangu,i mean hivyo vigezo vyake.
 
nataka kuitwa wifi hadi nichoke mwaka huu!
nataka kula pilau la harusi,
nataka kupiga vigelegele hadi koo likauke ndio maana mabinamu zangu especialy those single ones nawaletea vifaa ambavyo najua lazima mtangaze ndoa,mmeshakua watu wazima sasa, hebu oeni, 'uhuni' hauwapendezi tena.
Haya mchumba huyo hapo chini,kajieleza vizuri tu ,msipotangaza ndoa ntajua mna matatizo na itabidi mniambie mna matatizo gani.


NATAFUTA MCHUMBA!!!!!






fg.jpg


NATAFUTA MCHUMBA ILA AWE TIYARI KUKUBALIANA NA MASHARTI YANGU
(1) Akubaliane na urembo wangu asinipangie,

(2)Awe na miaka kuanzia 50,

(3)Awe muimbaji,

(4)Asiwe na mke mwingine,

(5)Awe na chapaa za kutosha,

(6)Awe na nyumba ya maana,

(7)Asiwe na mkopo benk,

(8)Awe na gari zaidi ya mbili,

(9)Nikiwa nae asiangalie dadaz za pembeni,

(10)Asiwe na simu za tochi,

(11)Asiwe mnywa tapu tapuzzzz!!

(12)Awe hendi sam boy Na mwisho

(13) AKUBALI KUPIMA KIPIMO KIKUBWA.




Ni mimi wenu mrembo kuliko wote TZ Napatikana Nyakato sokoni (MWANZA)





With thanks to Florah Talent Promotion

Huo wanja unanikumbusha cku 1 nilipo kiss na dada 1, badaye tumbo likaniuma sanaaaaaaaaaaaaa.........:laugh:
 
Back
Top Bottom