Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Mkuu Amavubi Kuhusu hiyo Intellegent yaani (akili) mimi huwa ninajitahidi sana kuwasaidia watu kimawazo kiakili kiushauri kuhusu Tiba za mbadala, mambo ya computer na mengineyo mengi sitoweza kukwambia kwa sababu mimi nyota yangu ni SagittariusHapo kwenye Intellegent, je umefanya IQ test? inasemekana New ton pamoja na uvumbuzi wake wote alitumia only 16% ya Ubongo wake, je wewe umashatumia ngapi?
Mkuu Amavubi niko Mamtoni tena kwenye nchi za baridi usifikirie nipo Mtoni kwa aziz ali bongo!!! nipo Ughaibuni Mkuu je wewe upo wapi? huku nilipo Baridi ndio inaanza................alas....naona umeamua kuja kivingine kwenye Avatar yako.............???